Yeye ni mtaalam wa Udongo na Mimea.Ni mshauri mbobezi katika sekta ya Kilimo kwa zaidi ya miaka 7
Ana uzoefu wa miradi ya kilimo kwa zaidi ya miaka 6. NI Mshauri wa Kilimo cha bustani na Ufugaji Kuku .
Mtaalamu wa ufugaji wa Kisasi wa Samaki. Ana uzoefu wa miaka 8 kuwasaidia vijana katika kilimo cha Samaki