Eneo hili limeandaliwa mahususi ili kukutanisha wewe kijana na fursa mbalimbali kama upatikanaji rasilimali, soko na mafunzo. Kupata fursa katika simu yako ya kiganjani , jisajili katika mfumo wa Lima na weka namba zako za simu ya kiganjani .