+255 659 215 984
 info@limaplatform.co.tz

Edna Products

Hawa ni watengenezaji na wasambazaji wa Siagi ya korosho. Wanapatikana Mtwara , wanafanya delivery mikoa yote na nchi za jirani. Wanatuma Bidhaa kwa gharama nafuu.

Karibuni sana

Mawasiliano +255787050060