Je wewe ni kijana mwenye shughuli au kampeni inayosaidia jamii?
Kama ndio, omba kushiriki “One Young World summit 2024”, ambapo utaweza kuonyesha wazo lako kwa watazamaji wengi duniani