AYuTe Africa Challenge Tanzania inatafuta mawazo bunifu ya kilimo na teknolojia yenye uwezo wa kutatua changamoto za mnyororo wa thamani zinazokabili katika Uzalishaji wa Mazao, Mifugo, Uvuvi, Usimamizi wa Misitu na Maliasili nchini.
https://ayute.africa/tanzania